Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
maandalizi haya..Habari zenu wadau,
Nahitaji kuwa na urafiki na mwalimu wa kike,itapendeza kama atakuwa Dodoma!Mi ni graduate,naishi hapa Dodoma!kwa aliye tayari anipm
elimu kuanzia diploma,umri 21- 24,mrefu kidogo,rangi yake maji ya kunde,mkristo na mwenye mwelekeo wa maisha!She must be in Dodoma!hapo vp KUN?Niko serious walimu,aliyetayari aniPM tafadhari