Nahitaji Rafiki wa Kike ambaye atakuja kuwa Mchumba na Mke wangu rasmi

CELLULAIRE

Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
76
Reaction score
97
Natumai wote wazima na poleni pia kwa majukumu yenu.

Nimejitokeza rasmi kutangaza Kwenu kuwa natafuta Rafiki wa Kike ambaye tukiridhiana basi atakuja kuwa Mchumba na Mke wangu rasmi.

Wasifu wangu

Naitwa Mwanangwa Mtemi ( Cellulaire )
Nina umri wa miaka 33 sasa
Kabila langu ni Mmwela ( Lindi ) na na Mluguru ( Morogoro )
Elimu yangu ni ya Shahada ya Kwanza ( Mawasiliano )
Nilikuwa nafanya Kazi mahala ila Mkataba umeisha na sasa natafuta Kwingine
Najiendeleza pia na Masomo yangu ya Shahada ya Pili ( Education )
Dini ni Mkristo wa dhehebu la Lutheran japo sibagui madhehebu mengine
Naishi Mwenge Dar es Salaam japo nakaribisha Mwanamke wa kutoka kokote kule
Sina Mtoto bado japo niliwahi kuwa na Mahusiano ila sasa nipo peke yangu

Nimeweka maelezo yote hapo juu ili kumrahisishia yule Mwanamke ambaye ataona huo wasifu unamfaa basi akaribie na tuweze kuongea na kujipanga zaidi.

Napatikana hasa kupitia email address yangu ya mwanangwamtemi@gmail.com ambapo ukija huko tutawasiliana kiurahisi zaidi na hata kupeana namba zetu za Simu.

Mwanamke ninayemuhitaji awe na umri wa kuanzia miaka 28 hadi 38 tu. Karibuni.
 
Kweli mwanangwa umeamua hawa under 25 wanakuwa na foleni sana bora umeamua hivyo ila umembwera sana 33 Hujapata michuchu hata kijijini?
 
Back
Top Bottom