Nahitaji rafiki wa kike/mama wa kiroho

BeautyQueen2017

New Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
2
Reaction score
13
Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti nahitaji marafiki wa kike na wamama pia
Kigezo ni uwe mcha Mungu umeokoka.
 
oohooo,kuokoka tena! hapo si qualify kuwa rafiki yako maana napenda nikiwa natia story na rafiki yangu pembeni tunagonga castle lager!!!
 
Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti nahitaji marafiki wa kike na wamama pia
Kigezo ni uwe mcha Mungu umeokoka.
Kanisani wameisha!!!
Huku kuna dudushelele mkuu
Karibu katika ulimwengu wa wasiobaguana
Kumbuka marafiki ni fb, insta huku ni wote tunaogeleaga bwawa moja
 
Karibu kwangu, hutajutia
Mkuu huu moto wako ni hatari. Umejiunga Jumamosi halafu leo Alhamis umeshapata cheo cha Expert member? Aiseee....... Haya ni madharau kwa Wakongwe wa humu.
 
Mkuu huu moto wako ni hatari. Umejiunga Jumamosi halafu leo Alhamis umeshapata cheo cha Expert member? Aiseee....... Haya ni madharau kwa Wakongwe wa humu.
Expert member toka lini?
 
Expert member toka lini?
Angalia Status yako Mkuu...... Wewe sasa ni JF Expert Mrmber. Umesharuka ngazi nyingi sana ndani ya Siku tano tu
1. New Member
2. Member
3. Senior Member
4. JF Expert Member.

Duuh! Hongera bhanah!....
 
Baba mroho nipo kama nafasi ikipatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…