Nahitaji rafiki wa kike/mpenzi/mchumba/mke

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
Za mda huu Wadau wa jf.
Niko mwanza Nina miaka kati ya 28 hadi 32
Ninahita mtu(mwanamke) ambaye anamaanisha kama nilivyoandika hapo juu
. Siamini katika kuandika mamho mengi hapa ila kwa atakayekuwa tayari sio mbaya tukaanza mawasiliano na kuona namna ya kuboresha mawasiliano

0784049216
 
Unachokitaka utakipata-Kutapeliwa
 
Reactions: lup
Huyu Demiss kama hajaolewa, basi hataolewa maake ni muda mrefu sana tangu nimeanza kusikia kutafutwa kwake, kila kona anasakwa.

Demiss popote ulipo kama hujaolewa tafadhali naomba uolewe haraka, unawatesa vijana, na uwaeleze kabsa kuwa sasa, kuna jamaa anakamatia.
 
Natafutwa wapi tena
 
Hivi kumbe bado hujapata?!
Hadi umeweka na namba za simu😳😳😳
 
Hii kazi inaonekana ngumu Sana [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mke tena kwani ujapata tu
 
Mungu ni mwema! Utapata chaguo sahihi!
 
wadau nami nipo singida jwa muda huu naomba kama kuna mdau mwanamke anifate inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…