Nahitaji rafiki wa kike/mpenzi/mchumba/mke

kila la kheri mkuu
 
Mkuu siku ukipata upandishe uzi hapa ili tupate mrejesho!!!πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Reactions: lup
Mkuu siku ukipata upandishe uzi hapa ili tupate mrejesho!!!πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Haya usiwaze mshenga
 
Nafasi moja, vyeo vitatu=nyota 3.

Najua wengi watachangamkia fursa ila ni vyema ukawaweka wazi, maana wengi watataka uwatunuku nyota 3 zote kwa pamoja.

Weka wazi cheo cha kwanza (mpenzi) mtu atadum nacho kwa muda gani, ili watu wafanye calculations isije kuchukua miaka 10 ndipo mtu atunukiwe ndoa.
 
Reactions: lup
Sin
Sina mpango as kupoteza kwa mtu atakaekuwa serious
 
Kijijini kwenu umekosa? Mtaani kwenu umekosa? Unanifanyia kazi umekosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…