nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
-
- #21
Nafanya ujasiriamali wa kutengeneza keki kwa ajili ya masherehe mbalimbali,ni computer technician piaBlackbeauty umri wako na unajishughurisha na nini kuingiza kipato ?
Namuomba Mungu pia wanguKama unasali mshirikishe mchungaji muingie kwenye maombi maalum utampata mke mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Blackbeauty umri wako na unajishughurisha na nini kuingiza kipato ?
Blackbeauty stand for beutiful black colour...Mkuu umepigwa kweli kweli na uyo x,.. Mpaka unajiita black beautiful umevurugwa,... Jipe muda mkuu mambo yatakua sawa,..
Nafanya ujasiriamali wa kutengeneza keki kwa ajili ya masherehe mbalimbali,ni computer technician pia
by emma mjasiriamali
Asante kwa tahadhari,sasa itakuwa haina maana kufanya hivyo...kama yeye ni rafiki be that na si vinginevyo.Kuna id fake nyingi za kike kumbe ni men.
Kuwa makini tu huko pm mkuu
Ukila sana zinachoshasuper! yaan ningekuwa nakula cake jaman navyopenda keki [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mie walah bahat haikuwa yangu...asalaale
Nawe wa kike?
Kukulipa nini asaaa...khaaaSasa black beauty utanilipa kwa kuwa rafiki yako?
Kwenye kapicha kangu huyo ni mwanangu ma mimi...and that is beautiful colourhahahaha nakuona nakuona!...blackbeauty wetu lol
Kwenye kapicha kangu huyo ni mwanangu ma mimi...and that is beautiful colour
by emma mjasiriamali
Ila sikuwa na haraka ya mke kwanza,though mengine yataenda automaticallyKama unasali mshirikishe mchungaji muingie kwenye maombi maalum utampata mke mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Just friend...other things happen automaticallysorry would like to know just a friend or more than that????????????
Nimefurahi😉Mbona umecheka asaaa
by emma mjasiriamali
Sasa nakuwa best friend wako bure bure?Kukulipa nini asaaa...khaaa
by emma mjasiriamali
I can not start chat with u...ndio pm yako inasema,nianze wewe
Rangi yangu ni nyeusi...nyeusi ni rangi nzuri,so naamini black is beautyMkuu umepigwa kweli kweli na uyo x,.. Mpaka unajiita black beautiful umevurugwa,... Jipe muda mkuu mambo yatakua sawa,..