Nahitaji rafiki wa kike, very best friend

Very ina maana kubwa sana hapo,msikurupuke,ukikosea kitu tu anakwambia nilisema VERY kwenye bango langu,pia katia msisitizo kuwa yeye ni black beauty ingawa ni mwanaume na hataki mumtukane...
Hamna,kawaida tu is not that serious

by emma mjasiriamali
 
Hapo umenichanga, wewe ni black beauty, halafu unatafuta girlfriend.!!!
Labda tuweke sawa, black beauty ni mwanamke au mwanamme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
super! yaan ningekuwa nakula cake jaman navyopenda keki [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mie walah bahat haikuwa yangu...asalaale
Kwanini unasema haikuwa bahati yako

by emma mjasiriamali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…