Nahitaji rafiki wa kike wala sio mpenzi sababu mpenzi ninae. Ila akitaka Huduma nyingne nitampa anazostahili mchumba. Tubadilishane mawazo ya maisha na tupeane ushauri. Awe na elimu juu hatakama anaendelea nayo. Nipo Dodoma na mimi nasoma chuo.
Asiwe na umri juu ya miaka 28.
Asiwe na umri juu ya miaka 28.