Nahitaji rafiki wa kike

Mbona yote majibu ?
Hayawezi kuwa ni majibu sahihi wakati kila neno lina matumizi yake na maana tofauti:
Rafiki wa kike na mpenzi ni maneno mawili yenye maana na matumizi tofauti.

Ni vigumu sana mwanaume kujenga urafiki na mwanamke kisha wakawekeana mipaka bila kuishia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
 
Asante naona sikuizi wanaeka rafiki na mpenzi Kama kitu kimoja
 
Tatzo ukiwa na rafk wakike...
Ata kama ham date...
Yy kupitia yale mazoea anaanza kukuomba pesa, vocha..anakugeuza mpenzi...ajipatie mahtaj madogo madogo....na ukishamfanya awe rafk utamwogopa2 kufunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ