Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo

Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo

Naona hii ndo post yako ya kwanza. Yaani umekosa marafiki mtaani kwako mpaka uje uombe huku?
Au hata huko kwenye mashule ulikosoma,
Majirani je?
Acha kuwaibia watu kindezi wewe
Yaani Nikajua una neno la maana... Ebu nyonyesha bhana..nimepata wawili byeee
 
Kitengo kazini
Screenshot_20180810-193415.jpg
 
Natafuta rafiki wa kiume kwaajili ya kubadilishana mawazo.. Am not single

Napenda awe rafiki ambae anaexperience na maisha hasa utafutaji pesa na Mahusiano.

Na mimi pia na mke lakini nahitaji exchange ya ideas. Pm me.
 
Natafuta rafiki wa kiume kwaajili ya kubadilishana mawazo.. Am not single

Napenda awe rafiki ambae anaexperience na maisha hasa utafutaji pesa na Mahusiano.
Mbona umefunga pm sasa? Kama nafasi hazijajaa ni pm
 
Back
Top Bottom