Nahitaji Rafiki wa kiume

Tangazo la kutafta mume hilo
 
Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana nae mawazo kipaumbele cha kwanza awe na Elimu 2.Elimu 3.Elimu pia umri aanzie 28 nakuendelea karibuni

miaka 28?
punguza bhana wengine tupo 18 yrs ukiwa tayari ni PM madogo tupo humu............
kaka sumbai
 
Last edited by a moderator:
miaka 28?
punguza bhana wengine tupo 18 yrs ukiwa tayari ni PM madogo tupo humu............
kaka sumbai

Teh teh....mdogo wangu utaambulia ma mama poa humu shauri yako
 
Last edited by a moderator:
Unataka msomi wa wapi mama marekani, ulaya, india, kenya/uganda, udsm au saint kayumbani?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…