Nahitaji rafiki wa kuchat

Kwahiyo ukisha upita huo wakati mgumu unaoupitia ndio tunaacha na kuchat sio? So unatafuta tu kipozeo cha muda?
 
Habar, kwa sasa napitia wakati mgumu kidogo nahitaji mtu wa kuchat nae wa kunifanya nirelax..mm ni mwanamke mwenye 32yrs.
Yan Kuna watu kazi yao ni kutoa watu stress. Ukikaa sawa unarudi kwa aliekupa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ