Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

SHEDEDE

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
339
Reaction score
551
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.

Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.

Atakayeweka na makisio ya gharama atapewa kipaumbele.

Nina 15m nataka kujenga angalu nifike 75%.
 
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.

Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.

Atakayeweka na makisio ya gharama atapewa kipaumbele.

Nina 15m nataka kujenga angalu nifike 75%
Ramani zipo ila siwezi kukuwekea BOQ kwa Ka laki,hata hiyo laki kwa ramani ni msaada tuu
 
1625125194061.png

FLOOR

1625125442227.png

BATI

1625125524357.png

MSINGI

1625125669982.png
1625125699065.png

MBELE NYUMA

1625125734813.png
1625125856466.png

KUSHOTO KULIA
 
Huwezi pewa ramani iliyokamilika kama hawajafika kupima na kujua kiwanja chako kipo katika hali gani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka yote hayo yafanyike kwa 100k. Alafu nyumba inaishia kupiga ufa anaanza kusema wataalamu wa Tz sio wazuri.

Natamani Tz tuwe na utaratibu wa kutumia wataalamu katika mambo ya msingi.
 
Anataka yote hayo yafanyike kwa 100k. Alafu nyumba inaishia kupiga ufa anaanza kusema wataalamu wa Tz sio wazuri.

Natamani Tz tuwe na utaratibu wa kutumia wataalamu katika mambo ya msingi.
Tatizo ni budget. Kama mtu angekuwa na pesa, angeajiri tu contractor akamaliza kazi.

Tatizo la vijana wengi wachora ramani, hawana maajabu halafu gharama kubwa.
 
Na msingi humo humo?...hii nyumba itakuwa na crack kibaoo
Kila kitu,
Haiwez kua na crack hata kidg.

Dada wity,
Unatakiwa ujue Bei za ujenz zinategemea eneo na eneo.

Fundi kwa dar,
ataomba kuinua boma kama ilo kwa ufundi wa 5million

Fundi wa mkoani,
Ataomba kuinua boma Kama ilo kwa 1.5million

Mpaka Sasa hatujajua mtoa mada anataka tathimi ya wapi
 
Sasa kama ni hivo kwanini nisiende mkoani nikaja na fundi wangu wa bei ya 1.5 kuliko wa hapa dar bei ghali?
 
Back
Top Bottom