Ramani zipo ila siwezi kukuwekea BOQ kwa Ka laki,hata hiyo laki kwa ramani ni msaada tuuAtakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.
Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.
Atakayeweka na makisio ya gharama atapewa kipaumbele.
Nina 15m nataka kujenga angalu nifike 75%
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.
Exijo saber qué hechicería es estaView attachment 1836431
FLOOR
View attachment 1836434
BATI
View attachment 1836436
MSINGI
View attachment 1836437View attachment 1836438
MBELE NYUMA
View attachment 1836439View attachment 1836441
KUSHOTO KULIA
Anataka yote hayo yafanyike kwa 100k. Alafu nyumba inaishia kupiga ufa anaanza kusema wataalamu wa Tz sio wazuri.Huwezi pewa ramani iliyokamilika kama hawajafika kupima na kujua kiwanja chako kipo katika hali gani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni budget. Kama mtu angekuwa na pesa, angeajiri tu contractor akamaliza kazi.Anataka yote hayo yafanyike kwa 100k. Alafu nyumba inaishia kupiga ufa anaanza kusema wataalamu wa Tz sio wazuri.
Natamani Tz tuwe na utaratibu wa kutumia wataalamu katika mambo ya msingi.
Bila shaka mtoa mada atakua anazungumzia BOMA TU, without finishing.15m kwa 75%[emoji849][emoji849][emoji848]
So inatosha?Bila shaka mtoa mada atakua anazungumzia BOMA TU, without finishing.
Kama kiwanja kipo,So inatosha?
Na msingi humo humo?...hii nyumba itakuwa na crack kibaoo.Kama kiwanja kipo,
Kuinua matofali TU na linta, inatosha na chenji inabaki.
Kila kitu,Na msingi humo humo?...hii nyumba itakuwa na crack kibaoo
Sasa kama ni hivo kwanini nisiende mkoani nikaja na fundi wangu wa bei ya 1.5 kuliko wa hapa dar bei ghali?Kila kitu,
Haiwez kua na crack hata kidg.
Dada wity,
Unatakiwa ujue Bei za ujenz zinategemea eneo na eneo.
Fundi kwa dar,
ataomba kuinua boma kama ilo kwa ufundi wa 5million
Fundi wa mkoani,
Ataomba kuinua boma Kama ilo kwa 1.5million
Mpaka Sasa hatujajua mtoa mada anataka tathimi ya wapi