Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

Piga tuu Mgongo wa Tembo mkuu ni very low cost.😂😂😂😂😂😂😂
 
Piga tuu Mgongo wa Tembo mkuu ni very low cost.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naomba sampl yake nimegundua ni upauaji low cost nyumba nying maeneo ya masak na osyserbay wamepiga migongo ya tembo kwa vigae
 
Tatizo ni budget. Kama mtu angekuwa na pesa, angeajiri tu contractor akamaliza kazi.

Tatizo la vijana wengi wachora ramani, hawana maajabu halafu gharama kubwa.

Gharama kubwa unaipimaje mkuu?
 
Tatizo ni budget. Kama mtu angekuwa na pesa, angeajiri tu contractor akamaliza kazi.

Tatizo la vijana wengi wachora ramani, hawana maajabu halafu gharama kubwa.
😅 Sio tu hawana maajabu ni wapumbavu, ukiwashauri wanaleta ubishi kama vile hiyo nyumba wataishi wao... Mimi sijawah nunua Ramani kwao, naingia Google natafuta website ya PINTERIST nina download ramani niipendayo yenye vipimo na makadirio ya materials...
 
Pinsterest ndio wapi huko mkuu?
 
Hizi ramani zake ukiprint unapeleka kupitisha tuu ama inabidi wakuchoree tena?
hata ukienda na ramani aliyokuchorea Architecture wa Kariakoo au Morogoro, still ukipeleka ofisi za Ardhi wilaya uliyopo watakuletea uswahili utoe pesa... Mimi huwa naenda nawapa 250K wananipa ramani yao waliyoiokota wanapojua wao wanagonga mihuri na wananipa building permit, ila nikirudi site kwangu najenga kwa ramani niliyoitafuta mimi sio ya kwao...
 
Hii ndio akili yenyewe. So hapo nijiandae na laki ngapi kukamilishi hiyo process ya kupitisha ramani na kupata building permit?
 
Kama hujapata ramani mpk sasa nicheki DM ninayo niliyotumia kujenga yangu. Gharama zote nilizotumia ziko documented
 
Mkuu tembelea uzi huu!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…