F Fado JF-Expert Member Joined Nov 14, 2016 Posts 237 Reaction score 417 Feb 17, 2020 #1 Habari wakuu, Wapi naeza pata ramani, mimi nipo kwenye International NGO nina mahitaji sana na hard copies za Ramani.
Habari wakuu, Wapi naeza pata ramani, mimi nipo kwenye International NGO nina mahitaji sana na hard copies za Ramani.
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Feb 17, 2020 #2 Fado said: Habari wakuu, Wapi naeza pata ramani, mimi nipo kwenye International NGO nina mahitaji sana na hard copies za Ramani. Click to expand... Hata watu binafsi tunahitaji sana hizi ramani maana nchi inavyogawanywa sasa hata sisi wakongwe tumechanganyikiwa!
Fado said: Habari wakuu, Wapi naeza pata ramani, mimi nipo kwenye International NGO nina mahitaji sana na hard copies za Ramani. Click to expand... Hata watu binafsi tunahitaji sana hizi ramani maana nchi inavyogawanywa sasa hata sisi wakongwe tumechanganyikiwa!
NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,402 Reaction score 4,532 Feb 17, 2020 #3 Wakati mwingine hata wamachinga wanazipitisha mitaani.Ila jaribu kwenda bookshop yeyote at least watakupa mwanga. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine hata wamachinga wanazipitisha mitaani.Ila jaribu kwenda bookshop yeyote at least watakupa mwanga. Sent using Jamii Forums mobile app