Nahitaji rasilimali watu wa kushirikiana nao ili kufanya miradi nao na hatimaye kulegeza vyuma

Unataka muungane kufanya lipi? Mtaji au nguvu kaz ya kuokota makopo au aje? Dadavua vizur
 
Watakao ungana ni watu wakubwa sana,sio wa kuokota makopo kama tutapofikia kus na kiwwnda hicho.muungano wetu katika suala zima namna ya kufika malengo watao kua watayari tuta kaa kikao nakujadili tutumie njia ipi positive ili kukamilisha
 
Unasema vyuma vimelegea.hapo hapo una taka kuwezeshwa.
 
Unataka muungane kufanya lipi? Mtaji au nguvu kaz ya kuokota makopo au aje? Dadavua vizur
Swali zuri sana, ila hapo kwenye kuokota makopo umeniacha hoi. haha ha
 
hebu weka tangazo lako vizuri mpendwa maana hatujakuelewa na wala hueleweki nini unahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…