Nahitaji recipe ya mapishi ya cheulo

La Cosa Mia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
271
Reaction score
127
Wakuu ambaye anajua namna ya kutengeneza cheulo ningependa anisaidie kwa hilo.
 
Cheulo ni zile tambi zinatengenezwa kwa unga wa dengu? farkhina malizia me nishaanza
 
Last edited by a moderator:
Chauro jaan

Hahahahahaha jamani haijanipitikia kabisa km zinaweza tamkwa hivyo nlijua ni kitu kipya maskioni mwangu lol.....sorry mleta mada hizo nazielewa ila recipe atatuletea farkhina
 
Last edited by a moderator:
jamani nazipenda kweli alafu hata cjuai zinatengenezaje
 
CHAURO
njugu robo kilo zikaange kwa mafuta,
ukisha kaanga pepeta kilo 1 pia kaanga kwa mafuta km njugu,
chukua bakuli tia unga wa dengu robo kilo tia maji kidogo chumvi na bizari kidogo.uponde uchanganyike uwe mzito zito, tia ktk machine ya chauro pika chauro utapika tambi zako za unga wa dengu ktk mafuta ya njugu na pepeta.ukimaliza tia ktk bakuli vitu vyote ulokaanga tia pilipili na chumvi km utahitaji
tayari chauro.
Cc farkhina La Cosa Mia atoto
 
Last edited by a moderator:
ni kama mchele uliokaangwa na umetiwa rangi, unauzwa sana uswahilini


hasante mama, japo nadhani sio hizo alizoulizia, ni zile za kutengenezwa kwa mchele
 
Last edited by a moderator:
Kuna nyengine mchele unakaangwa my dear unakua unaweka na rangi mfano yellow na red ndio jamii za chauro.....

Hizo sijawahi kuzila za mchele wa kukaanga. mie naziona hizi za pepeta wanaweka rangi ya njano pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…