BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Ataweza bei zakeDick Sound,Magomeni Usalama
Iko wapi mkuu??Nenda pale superster mataa pale kunakaribu na car wash wanakufungia pale
Habari za sikukuu ndugu zangu.
Nahitaji radio ya gari kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Iwe katika hali nzuri.
Bajeti yangu ni laki 1 mpaka laki 1 na 50.