Nahitaji rejeta inayotumia oil au hydrauric, oil cooler (Ni rejeta ya compressor)

lwidia2k

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
618
Reaction score
1,287
Habari za majukumu Wana FF, natumaini Ni wazima wa afya, na wale wasio sawa kiafya Mungu awafanyie wepesi.

Nirudi katika Mada, Nahitaji rejeta ya compressor machine inayotumia hydrauric au compressor oil. kwa jina lingine Wana iita oil cooler.

Compressor yangu Ni ingersoland pistoni mbili, Ni air cooling hivyo haitimii maji kupooza engine. Rejeta yake imepasuka hivyo nahitajinyingine, Ila haitimii maji Bali unatumia hydrauric au compressor oil.

Mwenye kuzijua au kuzifahamu naomba anijuze upatikanaji wake, na bei zake zikoje mpya na used.
Sample yake Ni Kama ifuatavyoView attachment 1471000View attachment 1471001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…