Nahitaji relaxing chair kwa ajili ya ofisi

kp kipanya44

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
12,971
Reaction score
15,248
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza wakuu,ni wapi naweza kupata kiti kizuri kwa ajili ya kupumzikia ofisini kwangu wakati nikisubiri wateja?

Note; naitaji kiti kizuri Cha kifahari Cha kuanzia angalau 150k
 
Nipe specifications nikutengenezee
 
Duh!!!!! Kiti cha kifahari. Lakini pesa, ndo hiyo kama ya kiti cha plastic

Hicho hapo una elfu kumi?
 
Attachments

  • 65c3a268dca25ee14fb20acda79348a2.jpg
    65c3a268dca25ee14fb20acda79348a2.jpg
    49.8 KB · Views: 6
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza wakuu,ni wapi naweza kupata kiti kizuri kwa ajili ya kupumzikia ofisini kwangu wakati nikisubiri wateja?

Note; naitaji kiti kizuri Cha kifahari Cha kuanzia angalau 150k
Ofisi yako ya kuandikia propaganda za uzushi kule kwenye mgogoro wa Russia na Ukraine siyo?( ni utani usipaniki)
 
Nenda Innstagram utapata wauzaji wengi. Nakushauri utafute cha mtumba.
 
Back
Top Bottom