kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Nipe specifications nikutengenezeeKama kichwa Cha habari kinavyojieleza wakuu,ni wapi naweza kupata kiti kizuri kwa ajili ya kupumzikia ofisini kwangu wakati nikisubiri wateja?
Note; naitaji kiti kizuri Cha kifahari Cha kuanzia angalau 150k
Mnapatikana wapi?Nipe specifications nikutengenezee
Ofisi yako ya kuandikia propaganda za uzushi kule kwenye mgogoro wa Russia na Ukraine siyo?( ni utani usipaniki)Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza wakuu,ni wapi naweza kupata kiti kizuri kwa ajili ya kupumzikia ofisini kwangu wakati nikisubiri wateja?
Note; naitaji kiti kizuri Cha kifahari Cha kuanzia angalau 150k
Kuanzia angalau laki Moja na nusu ni Hela ndogo mzee? Masihara haya!Duh!!!!! Kiti cha kifahari. Lakini pesa, ndo hiyo kama ya kiti cha plastic
Hicho hapo una elfu kumi?
Zile sio propaganda comred..,ni habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika!Ofisi yako ya kuandikia propaganda za uzushi kule kwenye mgogoro wa Russia na Ukraine siyo?( ni utani usipaniki)
Shukrani sana comred!Nenda Innstagram utapata wauzaji wengi. Nakushauri utafute cha mtumba.
🍾🍺 Karibu kilajiZile sio propaganda comred..,ni habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
safi sana mkuu.Zile sio propaganda comred..,ni habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app