Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Nahitaji kubadilisha Rim za Gari Harrier, zilizopo zimepinda sana kila siku ukiamka tairi hazina upepo.
Kwa hiyo nahitaji Rim Origal nzuri na durable sio lazima ziwe sport maana naona hizi sport sio imara.
Pia naomba ushauri kutoka kwenu kujua aina nzuri na original za rim.
Nitajuaje hizi ni fake na hizi ni Original.