Jamaa anaringaga sana yule... Afu yule anauza hizi za mchina kwa sana japo kwa design ni nzuri ila uimara sio sanaNenda magomeni kwa DIKI SAUNDI.
dicksound ako vizuri sana.Nenda magomeni kwa DIKI SAUNDI.
Atanisamehe,sijawahi kumkubali.Jamaa anaringaga sana yule... Afu yule anauza hizi za mchina kwa sana
Mimi nishawahi fanya nae kazi... Nahisi ile mastaa kwenda kwenda pale basi anavimba kichwa! Pozi nyingi sana na zile rim ni muonekano zaidi ila uimara sio sanaAtanisamehe,sijawahi kumkubali.
akijua wee wa mkoani atakupiga za shingo..maana ukibaki unawashangaa bongo movie pale utajikuta ulifata rims tuu ukanunua duka zima..Jamaa anaringaga sana yule... Afu yule anauza hizi za mchina kwa sana
Sasa sio biashara hizo... Wa mikoani nao ndio wana shobo nae sana labdaakijua wee wa mkoani atakupiga za shingo..maana ukibaki unawashangaa bongo movie pale utajikuta ulifata rims tuu ukanunua duka zima..
100% true... Mteja wa kawaida anakuonyesha dharau kabisaDicksound anathamini wasanii tu
Wafanyabiashara wa aina hii ni wapuuzi sana!100% true... Mteja wa kawaida anakuonyesha dharau kabisa
Jamaa anauza vitu rim za kichina ila anawa diss wenzie ndio wanauza za kichina wakati kiwanda ni hicho hicho!Mimi nishawahi fanya nae kazi... Nahisi ile mastaa kwenda kwenda pale basi anavimba kichwa! Pozi nyingi sana na zile rim ni muonekano zaidi ila uimara sio sana
Anajikuta na yeye yupo wasafiWafanyabiashara wa aina hii ni wapuuzi sana!
Hapo ndio naposhangaa... Anawaona wenzake vilaza na hawana bidhaa kaliJamaa anauza vitu rim za kichina ila anawa diss wenzie ndio wanauza za kichina wakati kiwanda ni hicho hicho!
Kuna yule jamaa wa kuitwa ephrawheelz unamfahamu mkuu?Mimi nishawahi fanya nae kazi... Nahisi ile mastaa kwenda kwenda pale basi anavimba kichwa! Pozi nyingi sana na zile rim ni muonekano zaidi ila uimara sio sana
UsefullyRim Orojino from Japan lazma iwe na haka ka alama! Ndio rim imara na standard!
View attachment 1780356
Asante sana mkuu je naweza kupata wapi mpya?Rim Orojino from Japan lazma iwe na haka ka alama! Ndio rim imara na standard!
View attachment 1780356