Nahitaji Samsung galax s4 pamoja na External HD

Bm_boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
547
Reaction score
348
Wakuu Tufanye biashara nahitaji samsung galax S4 niko na 500,000/= iwe katika hali nzuri..

Pia nahitaji External Hard disk 1tb kwa 100,000/= uwe kati ya arusha au moshi..... kama unayo kimoja kati ya hivyo unaweeza ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…