nahitaji sana hekima zenu ndugu zangu ..

nahitaji sana hekima zenu ndugu zangu ..

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti shortcut ) ...mm napenda mambo ya udactar yani nina interest huko nimeaply tayar vyuo nacte na private lakn na mm sasa nachanganyikiwa maana watu wengine wanasema kwenda chuo cjui itakucost baadae cjui utakuw huna heshima ya advanc mala oo utakuwa na wigo mdogo sjui serikali itawatenga kwasabab sijui hamna A level kichwani halafu ukiulizwa chet cha six kikwap utatoa nn yan mambo mengi ambayo yanakatisha tamaa ya chuo...hivi kwann tusiwe kama wazungu kumsomesha mtt tangu mdg fani yake yani kwamfano ukipata elimu msingi uende pahala husika... (huko advanc PCB huwa wanaondoka makwao tukunyema wanarud njiti ) ...kiukwl mm naona huko advanc sitaweza msuli wa PCB nimechunguza topics zao mmh naona kdg kuko taf ukizingatia mm msuliwangu wa olevel haukuw mzur sana halaf yale mambo yanataka msingi mzur kwahiyo najiogopea!!japo najua sitopata zero ila nitaishia ualimu(" kama wale maticha wa mchikichini ni majembe lakn wanakula chaki je mm sasa" ) na ndoto za muhimbil zitakuw zmeishia hpo ! kuepuka hayo nimeona nende tu diploma ya clinical medcine (""sisemi kule ndio mambo mepesi ila tu kule hamna necta halafu ajira hukosi ")... sasa hapa ndo penye point sasa napo htaj mm kujuwa ni kwamba naomben muniambie ni kwel kwamba usipoenda advance kuna hayo mambo ya kutopew thaman kama mtu hujaenda advanc("na serikal hata watu ") wakati wote mnadegree ila tu kilamtu na njia yake ningependa ajitokeze mtu asemee from experience kwamba bwana dogo iko hiv na hiv.hakwnd a level na akakosa heshma na huo wigo mdogo ulimbana wap akakosa nn na mambo kama hayo ... samahan kwa mahubiri marefu ila m mdogowenu nipo ktk kpind kigumu maana ndio nafanya maamuzi ya maisha yangu ya mbele Asanteni nyote ..nahitaji sana busara zenu kaka na dada zangu nyie c ndio grit thinkarz hebu munipruvie !!
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu wewe nenda tu ukasome..Vyema ni kuwa hiyo ni medical field(ambapo ajira ni uhakika).Ubaya wa hiyo route ni kuwa utatumia muda mrefu hadi ukafanye Doctor of Medicine..Lakini pia,kama unaogopa msuli wa PCB na unamaanisha kweli huuwezi,hiyo degree itakushinda tu maana huko hali ni tete kidogo
 
asante sana mkuu labda tu niseme hiyo degree siiogop hata kidogo no matter itakuw ngumu kiasgan tutapambana tu kwanza najua by the tym being ntakuw na ajira yangu... mbacho naogopa ni advanc tuu na hiyo PCB maana nahis nitarud tena diploma which is a waste of tym!!
 
Bwana mdogo we nenda tu kapambane naiyo misuli na mifupa ya people confusing brain[ PCB] Ya a-level ili uwe na uwanja mpana wa kufanya mambo yako. kumbuka short cut is a wrong cut. kwanza a-level inakupa nafas ya kuongeza ujanja halafu penye nia pana njia so far umesha jua kua PCB nicomb ngumu so lazma utakaza misuli na utafaulu tu pemgne ata kwa ufaulu mzur ambao ata ww ukuu tegemea
 
Bro hata mie n nia hyo hyo uliyonayo wewe ila bdo sija 2ma maomb sasa kama we ushatuma naomba maelekezo jnc ya kuaplai bro!
 
Mi naona kama malengo yako ni kuwa dr na una mashaka na form five we nenda tu huko diploma degree itabaki kuwa degree tu hata kama hujasoma sekondari....nna mfano wa kaka yangu o level alipata division one na alikuwa na ndoto za kuwa daktari...alipoenda advance alipata division three na hakuapply chuo akijua hatapata. Sasa hivi ni mwalimu ila haipendi kazi hiyo hata kidogo...
 
Back
Top Bottom