Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Nina miaka 27 ni mkazi wa dodoma kabila langu ni msukuma
Nahitaji sana kuwa na mke sema nahofia sana kipato changu kidogo
Nina biashara mbili za nguo kila biashara moja inaniingiza mapato ya laki moja kwa siku hapo faida inakuwa kama elf 50 hivi kwenye hiyo faida nikitoa matumizi yangu na ya mfanyakazi wangu nabakiwa kama elf 20 hivi
Je hiyo pesa itatosha kweli kumtunza mke? Au nitapuyanga tu, lakin nataman sana kuoa
Naomben ushaul wenu na kama yupo mdada aliye tayali kuolewa bas anaipm yaan aje Inbox tuongee vizur
Nb sinywagi pombe hata huyo mdada naye asiwe mlevi
Asanten