Dada zetu wachache wana kubali mtu alivyoKuoa ni utayari wa moyo. Kama moyo wako upo tayari kuoa basi oa. Tafuta mtu atakae kukubali wewe na sio level ya kipato chako wala uzuri wako.
What if siku moja biashara ikafa. Ukawa huna kipato itakuwaje??
SureUkioa matumizi yako ndio ya mkeo ,
Hapo bilashaka kinachokosti ni chakula ,ukioa mkeo atapika chakula nyumbani na kuwaleteeni kazini.
Option ya pili umesema una biashara mbili moja kaa wewe nyingine mkeo hapo hela ya mfanyakaz inakuwa haipo.
Ukioa matumizi yako ndio ya mkeo ,
Hapo bilashaka kinachokosti ni chakula ,ukioa mkeo atapika chakula nyumbani na kuwaleteeni kazini.
Option ya pili umesema una biashara mbili moja kaa wewe nyingine mkeo hapo hela ya mfanyakaz inakuwa haipo.
KAMA HELA YAKO NI YA WASIWASI USIOE KWANZA ISEE LASIVYO UTAKUWA UMETUOLEA, WANAWAKE SIKU HIZI HAWANA MAANA KABISA ASIKUDANDANYE MTU,Nina miaka 27 ni mkazi wa dodoma kabila langu ni msukuma
Nahitaji sana kuwa na mke sema nahofia sana kipato changu kidogo
Nina biashara mbili za nguo kila biashara moja inaniingiza mapato ya laki moja kwa siku hapo faida inakuwa kama elf 50 hivi kwenye hiyo faida nikitoa matumizi yangu na ya mfanyakazi wangu nabakiwa kama elf 20 hivi
Je hiyo pesa itatosha kweli kumtunza mke? Au nitapuyanga tu, lakin nataman sana kuoa
Naomben ushaul wenu na kama yupo mdada aliye tayali kuolewa bas anaipm yaan aje Inbox tuongee vizur
Nb sinywagi pombe hata huyo mdada naye asiwe mlevi
Asanten
Mkuu unawapa watu preshamimi kuna mke wa mtu kaniganda hataki kuniachia kabisa,tena ananiambia wazi jamaa haupati siku hizi, ninakutengea wewe tu,lakini najua kisa ni jamaa yake alikuwa na hela saivi kafilisika. USHAURI KAMA HUNA KIPATO CHA SAWASAWA MSIOE JAMANI WAKE ZENU WANATUSUMBUA MTAANI HUKO.UNAFUGAJE KUKU WAKATI UWEZO WA PUMBA HUNA hahahaaaaaa
aliyeajiriwa awe jobless?Ukioa matumizi yako ndio ya mkeo ,