Hakuna dish la fta au subscription, kinachofanya ulipie TV ni decoder. Ukitaka fta ni lazima uwe na digital recover then unaelekeza dish lako kwenye satellite yenye fta broadcasts.Ninahitaji satellite dish ila liwe na brand name tofauti na DSTV, AZAM, ZUKU AU STAR TIMES.
Yani nahitaji liwe la matumizi ya zile FTA Channels.
Kama mtu analo jipya au lililotumika ila lipo katika muonekano mzuri basi anitafute.
Nilikuwa nimenunua receiver ya DVB hizi zinazopokea FTA channels na pia tyar nina hizi digital decoder za kulipia. Ila wazo langu nilikuwa nafikiria tu niwe na dish ambalo mtu akiona atajua tu hili dish sio la azam au dstv. Ila kwa sasa naona ninunue tu hilohilo kama ulivyoelekeza mkuu yani nakuwa na madish mawili ya brand moja ila uelekeo ni tofauti.Hakuna dish la fta au subscription, kinachofanya ulipie TV ni decoder. Ukitaka fta ni lazima uwe na digital recover then unaelekeza dish lako kwenye satellite yenye fta broadcasts.
Nilesat is the best option for fta channels hunting.
Kwenye FTA hakikisha pia unapata Lnbf yenye nguvu maana Kuna satellites utawinda na satellite. Footprints zitakuwa mbali kuliko hizo za Akina AZAM na DSTV.Nilikuwa nimenunua receiver ya DVB hizi zinazopokea FTA channels na pia tyar nina hizi digital decoder za kulipia. Ila wazo langu nilikuwa nafikiria tu niwe na dish ambalo mtu akiona atajua tu hili dish sio la azam au dstv. Ila kwa sasa naona ninunue tu hilohilo kama ulivyoelekeza mkuu yani nakuwa na madish mawili ya brand moja ila uelekeo ni tofauti.