Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
- Thread starter
-
- #21
Tayari mamii..si unajua huu uzi ni wa muda kidogo,kwahiyo mahangaiko yamezaa matunda,.Mungu ni mwema mnoo.kumbe tayari??? mkuu hongera sana...Happy new year to you too......
😅😅Em tule kwanza pilau ya mwaka mpya...mengine yafuataye,au siyo??Nisaidie kazi mkuu hapo mgahawani kwako. Nipo silias. Malipo tutaelewana, sichagui kazi.
Nisaidie mkuu, Namba yangu hii hapa 0744472252 Nakuomba MkuuMbona PM yako inasumbua mkuu nimekutumia sms naona ina kataa,.hebu nitumie ww tafadhali
Hongera sana best! Ndio maana nakupenda japo kaka yangu (pacha) anakupenda zaidi.Hahaha Rebecca wangu ahsante jamanii,.Mungu ni mwema niko na mgahawa sasa karibu mnoo...
Happy New Year,.
Hahaha pacha jomoniii...ufanye kuja kunitembelea basi uoneshe upendo wako zaidi kwangu na kwa pacha 'etu😂😂Hongera sana best! Ndio maana nakupenda japo kaka yangu (pacha) anakupenda zaidi.
Kama ambavyo mi nakupenda lakini wewe hunipendi?Hongera sana best! Ndio maana nakupenda japo kaka yangu (pacha) anakupenda zaidi.
Jamaniii sawa mkuu,basi tutawasiliana,tutashauriana pia..Nisaidie mkuu, Namba yangu hii hapa 0744472252 Nakuomba Mkuu
Jamaniii sawa mkuu,basi tutawasiliana,tutashauriana pia..
Namimi naomba namba zako nikuWhatsap unipe direction... niko mahiri sana kwenye kukata vitunguu na kuonja ubwabwa.Jamaniii sawa mkuu,basi tutawasiliana,tutashauriana pia..
Mmhh babu wewe ntakuweka kwenye supu,ubwabwa ntaonja mwenyewe😜😜Namimi naomba namba zako nikuWhatsap unipe direction... niko mahiri sana kwenye kukata vitunguu na kuonja ubwabwa.
Heee chupa ya maji ya nn tena??
Haya usijali ntakutumia location,.
Hapo nakuhakikishia utapata bonge la hasara.Mmhh babu wewe ntakuweka kwenye supu,ubwabwa ntaonja mwenyewe😜😜
Hahaha na kweli,.babu ww ulivyo fisi hadi kwenye supu umo,.lolHapo nakuhakikishia utapata bonge la hasara.
Kwa jibu hili naona nishasomeshwa nambaHahaha na kweli,.babu ww ulivyo fisi hadi kwenye supu umo,.lol
Sawa mkuu, nakusubiri.Jamaniii sawa mkuu,basi tutawasiliana,tutashauriana pia..
Kumbe Mama ana babe![emoji4][emoji4][emoji4]Haya bby
Njoo nna bucha pia babuu😉😉ule nyama usazeKwa jibu hili naona nishasomeshwa namba