Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
- Thread starter
-
- #61
Vipi😀
Mbona hujaniambia kama una hiyo kitu ili nije kula ugali kwa mrenda.Ukishatua town nambie tuu mzee baba,.
Mmh jomoniii ntawaambia wangapi??😎😎Mbona hujaniambia kama una hiyo kitu ili nije kula ugali kwa mrenda.
MGC
SawaMmh jomoniii ntawaambia wangapi??[emoji41][emoji41]
Ntakupa kadi usijali mume wa mtu😊Sawa
MGC
Msalimie mke mwenzako.Ntakupa kadi usijali mume wa mtu[emoji4]
YupiMsalimie mke mwenzako.
MGC
Mama ntilie hujamboNtakupa kadi usijali mume wa mtu[emoji4]
Woiii...niko unono dyadyaa nahangaika na majungu ya moto tyuu👌Mama ntilie hujambo
😎😎😎Yupi
Sawa dada naweka oda ya makange samaki..badae jion najaWoiii...niko unono dyadyaa nahangaika na majungu ya moto tyuu[emoji108]
Hahaha,.huduma muhimuYuko busy akitoa huduma
MGC
Yamebaki ya firigisi tuu jomoniii🙄Sawa dada naweka oda ya makange samaki..badae jion naja
[emoji849]ntajitahid kula ata hayoYamebaki ya firigisi tuu jomoniii[emoji849]
Oh yeah😋😋ntakuongezea na sotojo bbq[emoji849]ntajitahid kula ata hayo
Hahaha umecheekaaa
Oh yeah[emoji39][emoji39]ntakuongezea na sotojo bbq
Nimekodi mgahawa maeneo ya karibu na chuo kikuu fulani dar...Naendesha hiyo biashara kwa hasara....nahitaji namna ya kuwamaster ninaofanya nao kazi...Ushauri wa namna gani tafadhali,.