Nahitaji shamba la kukodi

Nahitaji shamba la kukodi

Riben

Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
58
Reaction score
10
Ni kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga na matunda hasa bagamoyo, ruvu, mkuranga nk. Asanteni
 
Hilo shamba la kukodi unahitaji lenye ukubwa kiasi gani ndugu?
 
Guys na shamba la eka 10 lipo Dodoma na tatizo ya hela mda huu, nahitaji mil. 2 kuna issue urgent imetokea, so nauza shamba langu. Bei laki 2 kwa kila eka. Shamba haijalimwa mda mref so ina rutuba Sana. Waweza kulima mahindi, alizeti, dengu n.k Kama unahitaji ni whatsapp/SMS no. yangu ni 0755 204020

Dodoma sehemu gani mkuu kuwa specific.
 
Back
Top Bottom