Guys na shamba la eka 10 lipo Dodoma na tatizo ya hela mda huu, nahitaji mil. 2 kuna issue urgent imetokea, so nauza shamba langu. Bei laki 2 kwa kila eka. Shamba haijalimwa mda mref so ina rutuba Sana. Waweza kulima mahindi, alizeti, dengu n.k Kama unahitaji ni whatsapp/SMS no. yangu ni 0755 204020