Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,212
Ingekuwa maeneo ya MOROGORO ningekupa location mzee baba heka 10 na mto umekatiza katikati ya shamba

Mkuu ni shamba si kiwanja hahahaaLocation na bei tafadhali
Mkuu ni shamba si kiwanja hahahaa
Ulisha pata mkuu?Salaam!
Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5.
Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa.
Mwenye nalo aje inbox.
Asante.
ninalo Kisarawe eka. 10Salaam!