shamba lipo kibaha. nipe namba zako nikuunganishe na mwenyewe myajengeShalom, habarini za kutwa, nina interest ya kununua shamba maeneo ya kuanzia Kibaha kwenda hadi karibu na Mlandizi hapo katikati, kuanzia heka moja hadi tatu.
Isiwe karibu sana na lami.mwenye ufahamu naomba anijulishe, ila isiwe ya wapigaji wale wanaotaka pesa ya mteremko kwa utapeli..najua wapo , barikiwa
Kuna shamba mkuranga heka 4 bei poa
Ninashamba la 40 kwa 40 kilometa 6 kutoka barabara ya lami pale madafu