Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
mkuu karibu mufindi hali ya hewa na mazao ni sawa kwa kila kitu na njombe ,pia fursa zinafanana na rasilimali zote zinafananaMkuu ningependa ulezee ,hii ni njombe eneo gani ???
Unaweza ukawa mwenyeji wangu napanga kuja kuhamia huko