Nahitaji shareholder tufungue playstation center

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo juu, natafuta mtu ambayo tunaweza kuchanga vifaa tufungue ofisi ya game (playstation) mimi ntachangia tv 2 na cpu 1, na vifaa vngne vyote vya ndani ofsini vinavohitajika kwnye ofisi na yeye awe na ps4, ps3 na tv 1 ili tukapge pesa uko vijijini, ofisi location itakua ni CHALINZE, mabosi mje tukomboane kwenye hii absolutely poverty. NAMBA HZO 0782084694 KWASASA NPO DAR ES SALAAM
 
Mkuu kwema.
Kwa mahitaji ya Laptops,Desktops,Tablets,Ps3,Ps4,Ps5 used zenye ubora kutoka Dubai nicheki kwa whatsapp +971527794329
 
Nani atasimamia ?
 
Idea za Wabongo zinasikitisha mno, yaani haoa ndio akili zetu zimefikia tamati kwenye kuwaza, Mungu atusaidie
 
Halafu wewe acha kujilegeza kijinga. Hiyo biashara ni ya mtaji mdogo sana kwahiyo komaa uanze mwenye hata na TV moja. Demand ikiwa kubwa ndo uombe mtu aje kuongeza mtaji muwe partners. Acha UZEMBE.
 
Shareholder hatafutwi kwa kuchabgia vifaa, anatafutwa kwa kupiga bajet ya gharama ili mjue kila mtu kachangia asilimia ngapi ili kwenye mgao msigombane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…