Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 505
- 560
Jaribu kwenye maduka kama Master Cad waliopo maeneo ya MsimbaziMpya kwasasa airport nyingi zilo restricted ndio maana nimeona nigange na used.nimeenda toyota kariakoo wana iliyotengenezwa na kampuni nyingine nikawa na waswas
Jaribu kwenye maduka kama Master Cad waliopo maeneo ya Msimbazi
Siku ukiwa na V8 sipati pichaNahitaji shock absorber used ya left ya toyota IST new model (NCP-110) part no TOYOTA 48520-59425
Mwenye kujua wap nitapata anielekeze au anipatie no ya simu asanteni.
Siku ukiwa na V8 sipati picha