Nahitaji short business courses zinapatikana wap???

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
wakuu naomben mnisaidie chuo gani wanatoa course fupi za biashara km vile sales, marketing system , how to raise capital......... nahitaj kujua zinagharim sh ngap kwa course ya mwezi mmoja mpk miezi mitatu
 
Mkuu,

Ungejaribu kuwasiliana au kuwatembelea Tanzania Investments Center-TIC huwa wanatoa, tena zipo opportunities nyingi sana kwa mahitajio yako.

Hata kama upo Arusha, Mwanza au Mbeya jaribu uwaone maana huwa wanazo workshops ambazo zipo linked na UN, mimi nimehudhuria na zimenisaidia sana katika biashara.
 
mkuu wanapatikana wapi kwa hpa dsm
 
Uliza na TPSF-uliza course inaitwa EMPRETEC ni nzuri sana sana! sijui kama atayri mwaka huu au bado
 
Back
Top Bottom