Mkuu,
Ungejaribu kuwasiliana au kuwatembelea Tanzania Investments Center-TIC huwa wanatoa, tena zipo opportunities nyingi sana kwa mahitajio yako.
Hata kama upo Arusha, Mwanza au Mbeya jaribu uwaone maana huwa wanazo workshops ambazo zipo linked na UN, mimi nimehudhuria na zimenisaidia sana katika biashara.