Nahitaji shule inayotoa ECA Mwanza mjini

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Wadau wa hapo Mwanza naomba kujulishwa shule ya advance inayotoa mchepuo wa ECA maeneo ya mjini,nitashukuru sana
 
Jamani nisaidieni shida yangu
 
nenda thaqaafa high school ya mwanza wanatoa hiyo comb
 
Nawashukuru sana wakuu,Jf for life
 
nenda thaqaafa high school ya mwanza wanatoa hiyo comb

Mkuu siko hapo karibu ila naiomba unisaidie mawasiliano ya hapo thagaafa ama MTU yeyote unayemfahamu maeneo hayo nifanye maongezi nao kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…