Alfa Sanga
New Member
- May 30, 2025
- 3
- 0
Pixel inapiga picha nzur lakini ukishare zinapoteza uboraKaribu pixel
Hebu kila mtu kwa simu aliyo nayo apige kitu picha au video aweke hapa tuone ubora wa camera!View attachment 3643251
Tafuta simu ya kueleweka bro
Nitumie Techno gani?Tafuta simu ya kueleweka bro
Hello natafuta simu nzur kwa ajiri ya matumizi ya video shooting, ningependa kujua ni toleo lipi na Sony, lenye bei ya wastani, lipo vizuri zaidi,
Bajeti yangu ni 500k - 800k