Nahitaji simu za Google Pixel, zinachukua clear shot mpaka kero

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
560
Hizi simu za google pixel nimezielewa sana upanda camera zinachukua clear shot mpaka kero

Kwa hapa Bongo Naweza pata kwa bei au zanzibari kwa 3XL na vp kuhusu spare zake hizi simu
 
Natafuta na mm nilizichulia poa nikaona kamoja kadogo kalikuwa 3a kitu kama icho picha ni hatari ila display hope ni 5.5 inc
 
Uzurinwa hizo simu upate Brand New ndio angalau utakaa nayo..Lakini hizo Refurb siyoo.
 
Pixel zinauzwa rahisi sana za zamani, as cheap as $60 na mpya chini ya $200 kwa hio 3xl.

Sema zina tatizo zinakufa zenyewe na google hawajui ni kwa nini, hivyo jiandae kisaikolojia.
hawa jamaa ni wapuuzi sana.

ni sawa na jeshi linaloingia vitani na silaha bora kabisa,lakini bila wataalam wa kuzitumia.
 
Google ni software company wana utaalamu mdogo sana wa hardware, hardware nyingi wana outsource nje hivyo inakuwa ngumu kumanage likitokea tatizo kama hilo.
 
steve jobs kwenye moja ya interview zake aliwahi kusema,ili uwe nondo kwenye hii game ni lazima hardware na software ukomae mwenyewe.
vinginevyo boko itakuwa sehemu ya maisha yako.

sijajua kwanini samsung aliachana na tizen,ila pia sijui kajipangaje maana tunakokwenda,wasipokuwa makini apple atafanya waonekane kama hawajui kazi.fikiria simu ya mwakani inatakiwa iwe na ram 16gb kuendelea,lakini sababu no android haipo optimaized kwa samsung pekee innaokana kama mtoto kwa 8gb za apple.
 
Richmoto Kushmoto Bado tupo nyuma in short sisi n washamba mno hasa sisi wa mkoa Ile Google pixel Wana vitu vikali mno, other brand ambayo ni kali ni Gigaset, sharp Kwa china brand Kuna ZTE ni nzuri koz nimezitumia zote
 
Pixel zinauzwa rahisi sana za zamani, as cheap as $60 na mpya chini ya $200 kwa hio 3xl.

Sema zina tatizo zinakufa zenyewe na google hawajui ni kwa nini, hivyo jiandae kisaikolojia.
Huwa unasngalia vizuri Bei Amazon na ebay hizo simu ni ghali chief watu Huwa Wana bid price mbali na Hilo hio simu ni ngumu chief
 
Mkuu simu Kubrick Mbona ni mda na kila site wamereport

Na nimecheki amazon sasa hivi zimejaa kibao chini ya Dola 200. Kulikuwa na sale woot mpaka dola 60.
 
Kikubwa cameta chief
Camera ya Google ni software, unaweza ukaiport simu nyingi hasa zenye snapdragon 800 series.

Sasa hivi pixel hayupo tier ya juu kwenye camera sidhani hata kama top 10 yupo, hasa vile simu za karibuni zao ni midrange, definitely simu kama oneplus 9 pro ina camera nzuri kuliko pixel 5, maybe pixel 6 itacompet.

Unaweza tafuta oneplus 6T ama 7 ukaweka Gcam utapata camera kama pixel 3/4 ama nzuri zaidi.

6t (gcam) vs pixel 4, hapo pixel 4 ni mpya zaidi.
 
Nimeanza kuona malalamiko kuwa OnePlus siku hizi sifa yao ya ubora imeanza kupotea hasa upande wa software updates. Hata Samsung wanaanza wapiku kwenye kuahidi 3 years of updates
 
Hizo zitakua ni oneplus mpya mkuu, ambazo zitahamia color os (same na oppo) ila za zamani zinapata kama kawaida, nina OP 6T ya 2018 ina android 11, na 12 inakuja.

Kuhusu vs Samsung, hakuna aibu kwa oneplus kupitwa na samsung, kifupi hakuna Oem yoyote wa android anayemfikia Samsung.
 
Nimekupata mkuu.
Ngoja nisikilizie hii transition nione itakuwaje
 
Back
Top Bottom