Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
hawa jamaa ni wapuuzi sana.Pixel zinauzwa rahisi sana za zamani, as cheap as $60 na mpya chini ya $200 kwa hio 3xl.
Sema zina tatizo zinakufa zenyewe na google hawajui ni kwa nini, hivyo jiandae kisaikolojia.
Google ni software company wana utaalamu mdogo sana wa hardware, hardware nyingi wana outsource nje hivyo inakuwa ngumu kumanage likitokea tatizo kama hilo.hawa jamaa ni wapuuzi sana.
ni sawa na jeshi linaloingia vitani na silaha bora kabisa,lakini bila wataalam wa kuzitumia.
steve jobs kwenye moja ya interview zake aliwahi kusema,ili uwe nondo kwenye hii game ni lazima hardware na software ukomae mwenyewe.Google ni software company wana utaalamu mdogo sana wa hardware, hardware nyingi wana outsource nje hivyo inakuwa ngumu kumanage likitokea tatizo kama hilo.
Huwa unasngalia vizuri Bei Amazon na ebay hizo simu ni ghali chief watu Huwa Wana bid price mbali na Hilo hio simu ni ngumu chiefPixel zinauzwa rahisi sana za zamani, as cheap as $60 na mpya chini ya $200 kwa hio 3xl.
Sema zina tatizo zinakufa zenyewe na google hawajui ni kwa nini, hivyo jiandae kisaikolojia.
Mkuu simu Kubrick Mbona ni mda na kila site wamereportHuwa unasngalia vizuri Bei Amazon na ebay hizo simu ni ghali chief watu Huwa Wana bid price mbali na Hilo hio simu ni ngumu chief
ukweli mchungu [emoji1][emoji1][emoji1]Richmoto Kushmoto Bado tupo nyuma in short sisi n washamba mno hasa sisi wa mkoa Ile Google pixel Wana vitu vikali mno, other brand ambayo ni kali ni Gigaset, sharp Kwa china brand Kuna ZTE ni nzuri koz nimezitumia zote
aseePixel zinauzwa rahisi sana za zamani, as cheap as $60 na mpya chini ya $200 kwa hio 3xl.
Sema zina tatizo zinakufa zenyewe na google hawajui ni kwa nini, hivyo jiandae kisaikolojia.
nimesikia sana hayo malalamikoPixel zinauzwa rahisi sana za zamani, as cheap as $60 na mpya chini ya $200 kwa hio 3xl.
Sema zina tatizo zinakufa zenyewe na google hawajui ni kwa nini, hivyo jiandae kisaikolojia.
Kama unapenda pixel, oneplus sio mbaya, utapata superior hardware na pia unaweza port mambo mengi ya Google kwenye oneplus yako.nimesikia sana hayo malalamiko
Kikubwa cameta chiefKama unapenda pixel, oneplus sio mbaya, utapata superior hardware na pia unaweza port mambo mengi ya Google kwenye oneplus yako.
Camera ya Google ni software, unaweza ukaiport simu nyingi hasa zenye snapdragon 800 series.Kikubwa cameta chief
Nimeanza kuona malalamiko kuwa OnePlus siku hizi sifa yao ya ubora imeanza kupotea hasa upande wa software updates. Hata Samsung wanaanza wapiku kwenye kuahidi 3 years of updatesCamera ya Google ni software, unaweza ukaiport simu nyingi hasa zenye snapdragon 800 series.
Sasa hivi pixel hayupo tier ya juu kwenye camera sidhani hata kama top 10 yupo, hasa vile simu za karibuni zao ni midrange, definitely simu kama oneplus 9 pro ina camera nzuri kuliko pixel 5, maybe pixel 6 itacompet.
Unaweza tafuta oneplus 6T ama 7 ukaweka Gcam utapata camera kama pixel 3/4 ama nzuri zaidi.
6t (gcam) vs pixel 4, hapo pixel 4 ni mpya zaidi.
Hizo zitakua ni oneplus mpya mkuu, ambazo zitahamia color os (same na oppo) ila za zamani zinapata kama kawaida, nina OP 6T ya 2018 ina android 11, na 12 inakuja.Nimeanza kuona malalamiko kuwa OnePlus siku hizi sifa yao ya ubora imeanza kupotea hasa upande wa software updates. Hata Samsung wanaanza wapiku kwenye kuahidi 3 years of updates
Nimekupata mkuu.Hizo zitakua ni oneplus mpya mkuu, ambazo zitahamia color os (same na oppo) ila za zamani zinapata kama kawaida, nina OP 6T ya 2018 ina android 11, na 12 inakuja.
Kuhusu vs Samsung, hakuna aibu kwa oneplus kupitwa na samsung, kifupi hakuna Oem yoyote wa android anayemfikia Samsung.