uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Asante mkuu ngoja nicheki. Inachukua muda gani hadi kukufikia toka ulipoagizaKama hutojali nakushauri nunua online Aliexpress. Kwa bajeti yako unapata simu ya maana sanaaa
Kuna Samsung s6 edge mzaz
Ongeza 100 nikupe samsung galax A7Habari wakuu!
Nahitaji simu yenye hali nzuri sana yenye specs hizi:
1. RAM walau kuanzia 4GB lkn ukiwa na 6GB au zaidi itafaa zaidi
2. Internal Memory walau 64GB
3. Kukaa na chaji walau masaa 6
4. Battery capacity 3600Amh na zaidi
5. Line 2, dual
6. Isiwe Teckno, itel (samahani wenye cm hizi)
7. Bajeti yangu TZS. 400,000
8. Napatikana Dar,
9. Mawasiliano Call/sms/whatsapp 0755411455
Uwe na subiraAsante mkuu ngoja nicheki. Inachukua muda gani hadi kukufikia toka ulipoagiza