Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
asante sana mkuuNgoja waje mkuu.
Ila binafsi naona uwekeze kwenye chakula yaan nafaka (mpunga, mchele)..,unanunua kwa wakulima kipindi cha mavuno afu ww unauza bei pungufu na ile ya dukani. Utapata wateja weng sana ila tu mzigo uwe mzuri.
Wengne wanasema M-PESA, TIGOPESA, n.k
asante kwa mawazo yakoKumbe upo dar bhna fanya biashara ya chakula pika chakula kitamu uza....
Wateja utapata tu na iyo laki nane inatosha kabisa, pikia nyumbani tafuta fremu na kitambulisho Cha 20000 Kodi viti vya plastic kwa Bei nafuu baadae nunua vyako pika mchana na asubuhi supu chapati chai maandazi tafuta msaidizi pamoja na wewe mfanye iyo kazi.... Ukiaachi mtu kazi hupati faida utafunga mwezi haujaisha..
ni uwakala wa biashara ganimkuu nicheki tufanye biashara natafuta wakala wa maeneo hayo