Nahitaji Single Mother tu

Bado napata ugumu kuamin kama kuna Mke au Mume anatafutwa mitandaoni tena kwa matangazo rasmi kama hivi, Kama sio Upigaji basi ni Nyege hii ndo imani yangu.
 
Bado napata ugumu kuamin kama kuna Mke au Mume anatafutwa mitandaoni tena kwa matangazo rasmi kama hivi, Kama sio Upigaji basi ni Nyege hii ndo imani yangu.
Nakupa ushuhuda man miaka kumi na tatu nyuma..

Mimi na jamaa yangu tulimtafuta manzi mmoja mtandaoni tena face book.
Manzi ni Mganda tulituma mpaka nauli ya kumtoa Uganda mpaka DSM.

Manzi alikaa wiki nzima bila kutokea hadi tukaingiwa na wasi wasi na kuanza kujiona sisi ni wajinga kinoma..
But kwenye ile wiki ya pili Manzi alitutaarifu kuwa amemaliza taratibu zote so anahamia TZ rasmi..
Hatukuamini mpaka alipoingia na ?ile gari za utatu mtakatifu tukaenda kumpokea..

Mwanamke yule huwezi amini mpaka leo ndie shemeji yangu kwa jamaa yangu
Japo mimi nilishaondoka mjini Daslam.
But the woman made a good wife..

So chochote kinawezekana popote pale kama ni kusudi mkuu kikubwa unuie tu..
 
Nipe na ushuhuda kwa hawa dada zetu wa Buza ili niamini mazima.
 
Hao wa chupi-dera wabaki kwenye ngoma ili wawe uponeo wa wanywa viroba..
Lakini kuotea hakuji mara mbili Bro, ulipaswa umtapeli mke yule mwanao mlofanikisha mchongo wa kwanza.
We saivi utaambulia malaya mwenye Gono zake.
 
Lakini kuotea hakuji mara mbili Bro, ulipaswa umtapeli mke yule mwanao mlofanikisha mchongo wa kwanza.
We saivi utaambulia malaya mwenye Gono zake.
Broo kumtapeli mwanangu mke ni kuasi kanisa!!
Nadhani unaielewa hii kauli tena kanisa lenyewe ROMA.
Nitapata maana subira yavuta kheri..
Kumbuka hata kesho kuna watu wataachana na wameshazaa hivyo naweza kuponea kwa wajao pia.
Maana bandiko langu halina expiery date.
 
Hapo kwenye Makanisa ndo umeharibu kila kitu.
 
Natafuta Ajira kuna muujiza huku😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…