Nahitaji Single Mother tu

Ndio maana unapenda kutembeza mafuta ya watoto
Naukumbuka ule ubeti,,
What Am I supposed to do when club lights come on?
What if my son stares with a face like my own?
And say he wants to be like me when he's grown?
Shit but I aint finished growing.
Ukifikiri deep utaona mwamba hajasingiziwa vingi bali kama kuna chumvi basi ni kidogo sana..
Niliupenda sana wimbo wa
"I'M COMMING HOME"
Mpaka leo sichoki kuusikiliza
Nakumbuka wakati nikiwa sekondari nilikuwa naurap mwanzo mwisho hadi washikaji wakanitungia jina la P didy na likashika kabisa
Ahsante Mungu maana lilibakia shuleni sikwenda nalo mtaani
Imagine wadada wangesikia nikivuma kwa jina la P didy wangedhani kwanza ni mimi kabla ya kujua ni yule mwamba wa Yuesiei.
 
Hahaha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…