Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Sasa unalia nini? Nyamaza tukuelekeze vizuri ala!! Avatar nyingine bhana duuuhKama inavyojieleza ... Ninahitaji uelewa wa solar power sytem ambayo itaweza kuwasha taa 14 na TV ambayo sio ya solar na sehemu ya kuchaji simu. Kwa mahitaji haya mahitaji solar yenye ukubwa gani .
Kama inavyojieleza ...
Ninahitaji uelewa wa solar power sytem ambayo itaweza kuwasha taa 14 na TV ambayo sio ya solar na sehemu ya kuchaji simu. Kwa mahitaji haya mahitaji solar yenye ukubwa gani?
Taa ni jioni mpaka asubuhi hasa sita za nje 8 za ndani zenyewe muda wa kulala tu zinazimwa kuhusu watts hapa ntumiaga 5w umeme wa tanesco probably kutakuwa na lowest .. Kingamuzi kipo pamoja na subwoofer .kaributaa 14 za watts ngapi ??? zinawaka masaa mwangapi kwa kwa masaa 24 tv ni ya watts ngapi? inawaka kwa masaa mangapi? iyo TV yako haina hata kingamuzi?? taja load yako yote tufanye calculation