Nahitaji soya

DEDmpole

Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
30
Reaction score
30
Wakuu habari. Nahitaji soya kwa wingi, hivyo yoyote anayejua upatinakaji wake tunaweza kufanya kazi

Mawasiliano: 0626532223
 
Huyu ni mwanafunzi utampaje connection nilimpigia simu nikamstua huku soya zipo nitajie bei anakwepa mara oooh ulizia zikiwepo tulete gari nikaona hapa hamna muhitaji soya juzi nimesimamia usafirishaji wa tani 23 zimeenda dar,simu moja tu kwa mchina alitaja bei kwa kilo na wiki mbili zijazo unasafirishwa mzigo mkubwa zaidi
Duh. Nahisi naweza kukupa connection na wakulima wa soya. Nitaku add kwenye group
 
Wakuu nashkuruni kwa msaada wenu...nilishapata sehem yauhahika yakuchukua mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…